BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Moja kwa moja, Musk aishuku serikali ya Marekani kuwa chanzo cha kupungua kwa kasi ya ndege zisizo na rubani za Ukraine
Elon Musk amesema kuwa serikali ya Marekani huenda ikawa nyuma ya vikwazo kuhusu kasi ambayo baadhi ya silaha za Ukraine zinaweza kusafiri na kuendelea kuunganishwa na mtandao wa intaneti wa SpaceX wa Starlink.
Kwa nini intaneti ya Starlink ni muhimu sana katika uwanja wa vita nchini Ukraine?
Setilaiti za Starlink zinazoendeshwa na SpaceX ya Elon Musk hutoa intaneti ya kasi kubwa - kitu ambacho vita vya kisasa hutegemea sana.
Kenya yathibitisha mgonjwa wa pili wa Ebola
Mgonjwa huyo mwenye miaka 39 ni jamaa wa karibu wa kisa cha kwanza cha Ebola nchini, alisema Mkurugenzi Mkuu wa Afya Dkt. Patrick Amoth.
Mwaka mmoja bila Raila: Ni nani amenufaika zaidi na pengo aliloacha katika siasa za Kenya?
Hakuna mwanasiasa mwingine katika historia ya kisasa ya Kenya ambaye ameacha pengo la kisiasa linalozua mjadala mkubwa kama Raila Odinga.
Kwa nini Mojtaba Khamenei anaichukulia Iran kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani?
Madai ya hivi karibuni ya Mojtaba Khamenei kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni "nguvu inayoongoza duniani" kulingana na "hesabu za kiungu" yameibua mijadala na majaribio ya kufafanua dhana hii miongoni mwa vyombo vya habari na taasisi zilizo karibu na serikali.
Simulizi ya saa 24 za mwisho za mtaalamu aliyejidunga sumu ya nyoka
Wakati akifanya utafiti kuhusu nyoka mwenye sumu kutoka Afrika, mtaalamu wa viumbe Carl P. Schmidt aling'atwa na nyoka huyo.
Jinsi kunguni alivyosababisha kusimamishwa kwa safari za ndege za kimataifa
Safari ya ndege ya shirika la Qantas kutoka Italia kwenda Australia iliahirishwa siku ya Jumamosi baada ya ndege hiyo kukumbwa na tatizo la kunguni.
Waridi wa BBC : Kutana na mwanadiplomasia ambaye ni fundi seremala
Uamuzi wa kusitisha masomo yake kwa muda ulifuatiwa na kuelekeza nguvu, akili, na hisia zake zote katika kukuza kipaji chake cha ufundi seremala, kazi ambayo kwa wengi haikuwa ya kawaida kwa msichana wa umri na elimu yake.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Saudi Arabia yaanza uchunguzi kubaini jinsi Wahouthi walivyofanikiwa kuishambulia
Maafisa wanasema uchunguzi huo pia unalenga kubaini sababu zilizofanya mifumo ya ulinzi wa anga ya Saudi Arabia ishindwe kutoa tahadhari ya mapema.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia
Kaka yake, Godfrey Polepole, ameiambia BBC kuwa familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu tangu kutoweka kwa ndugu yao, huku juhudi za kumtafuta zikigonga mwamba.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Kwa nini Marekani iliziondoa kwa ghafla ndege zake za kurusha mabomu kutoka Uingereza?
Hatua ya ghafla na ya kina ya kuondolewa kwa ndege nzito za Marekani zenye uwezo wa kubeba mabomu siku ya Jumapili ilikuja kwa kasi kiasi cha kuacha kila mtu akijiuliza ni nini kilichosababisha hatua hiyo
Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya
Mradi huo unatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Sir Wicknell alipataje utajiri wake?
Chivayo ameacha kampuni, mali na mahusiano na watu wenye ushawishi, lakini pia ameacha maswali ambayo huenda baadhi ya majibu yake ameondoka nayo.
Uvumbuzi 9 wa kijeshi wa ajabu zaidi kuwahi kubuniwa duniani
Wasovieti walihitaji njia ya kuzuia vifaru vya Wanazi haraka. Afisa mmoja akatoa pendekezo la kikatili na la kushangaza: kwa nini wasitumie mbwa?
Teknolojia 5 zinazombadilisha binadamu kuwa nusu mashine
Kuruka angani kwa muda mrefu kumekuwa ndoto ya binadamu, kuanzia simulizi ya Kigiriki la Icarus hadi magari yanayoruka yaliyooneshwa katika filamu za sayansi ya kubuni kama Blade Runner.
Edward Rukidi Kijanangoma: Kutoka uwanahabari hadi ufalme wa Tooro Uganda
Mwanahabari Kijanangoma anapanda kwenye kiti cha ufalme wa Tooro huku mzozo wa kumrithi marehemu Mfalme Oyo ukiendelea.
Hukumu ya kesi ya Lissu kutolewa tarehe sita Novemba
Mahakama imesema itahitaji muda wa kutosha ili iweze kutoa maamuzi sababu hili ni shauri la namna yake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 15 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 15 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 14 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































